Hizo zinapatikana maeneo gani kwa dar na bei zake

Nenda KISHENI ya kariakoo zipo nyingi ila bei sikumbuki. Ni zaidi ya 2.8m
 
Mitaa siikumbuki ila ni nyuma ya lile jengo lililoandokwa china..... ukiulizia KISHEN wanapouzi pik pik utafika
Shukrani kaka ngoja niende nikafanye survey maeneo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…