HK hivi yuko wapi?

miminimkulimaakachekasana

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
3,263
Reaction score
4,730
huyu ni msanii aliyetamba na kangoma chake iliyokuwa inaimbwa ...aaah taiti aaah taiti .mwenye kujua naomba aniambie
 
Hk meneja wa snura na
Yy ndo anang"oa ule mlima
Wa snura
 
Wanamuziki/Wasanii wanaotumia hilo jina la HK wapo wengi

1.Kuna "HK" aliyeimba huo wimbo

2.Kuna HK aliyeimba wimbo wa Happy Birthday featuring Dully Sykes.Huyu baadae alibadilisha jina na kujiita "H KIZZO" baada ya kuona majina ya HK yamekua mengi

3.Kuna "HK" meneja wa msanii Snura wa majanga.

4.Kuna "HK" yule director wa video za wasanii wa Bongo Flava.Hassan Kundamayi kaongoza video kama Vumilia-Tatizo Umaskini,Chid Benzi -Dar Es Salaam Stand Up n.k
 
Mi nikajua ndo huyohuyo
 
Asa
Asante mkuu unakumbuka jina la huo wimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…