Elections 2010 Hki ni kipindi kigumu sana: tukumbuke silaha zote pamoja na maombi

Elections 2010 Hki ni kipindi kigumu sana: tukumbuke silaha zote pamoja na maombi

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,253
Reaction score
11,626
Nimeupenda sana huo wimbo. Bwana awakumbuke wote ila hapo inapotajwa serikali basi naomba isomeke kwamba wanaoombewa ni serikali ya wapambanaji itakayoingia Mjengoni Oct 31.

Mnaweza pia kuziba masikio Bwana 6 akianza kuomba.

Last edited by a moderator:
Kama kura zinapatikana kanisani, mwambie Silaa asihangaike kuwakusanya walevi wa mbege Moshi.:becky:
 
Kama kura zinapatikana kanisani, mwambie Silaa asihangaike kuwakusanya walevi wa mbege Moshi.:becky:

Kumbe hazipatikani kwa maombi?

Na kwa Shekh Yahaya Hussein je? Au majini tu ndo yanafanyakasi?
 
Back
Top Bottom