Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,253 Reaction score 11,626 Sep 23, 2010 #1 Nimeupenda sana huo wimbo. Bwana awakumbuke wote ila hapo inapotajwa serikali basi naomba isomeke kwamba wanaoombewa ni serikali ya wapambanaji itakayoingia Mjengoni Oct 31. Mnaweza pia kuziba masikio Bwana 6 akianza kuomba. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nimeupenda sana huo wimbo. Bwana awakumbuke wote ila hapo inapotajwa serikali basi naomba isomeke kwamba wanaoombewa ni serikali ya wapambanaji itakayoingia Mjengoni Oct 31. Mnaweza pia kuziba masikio Bwana 6 akianza kuomba.
Vaticano Member Joined Sep 18, 2010 Posts 75 Reaction score 0 Sep 23, 2010 #2 Kama kura zinapatikana kanisani, mwambie Silaa asihangaike kuwakusanya walevi wa mbege Moshi.:becky:
Mpambalyoto JF-Expert Member Joined Mar 26, 2010 Posts 752 Reaction score 3 Sep 23, 2010 #3 Vatican said: Kama kura zinapatikana kanisani, mwambie Silaa asihangaike kuwakusanya walevi wa mbege Moshi.:becky: Click to expand... Mhadhama Vatican, aliyeanzisha hoja ya rushwa ya 'vitochi' si anajulikana?
Vatican said: Kama kura zinapatikana kanisani, mwambie Silaa asihangaike kuwakusanya walevi wa mbege Moshi.:becky: Click to expand... Mhadhama Vatican, aliyeanzisha hoja ya rushwa ya 'vitochi' si anajulikana?
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,253 Reaction score 11,626 Sep 24, 2010 Thread starter #4 Vatican said: Kama kura zinapatikana kanisani, mwambie Silaa asihangaike kuwakusanya walevi wa mbege Moshi.:becky: Click to expand... Kumbe hazipatikani kwa maombi? Na kwa Shekh Yahaya Hussein je? Au majini tu ndo yanafanyakasi?
Vatican said: Kama kura zinapatikana kanisani, mwambie Silaa asihangaike kuwakusanya walevi wa mbege Moshi.:becky: Click to expand... Kumbe hazipatikani kwa maombi? Na kwa Shekh Yahaya Hussein je? Au majini tu ndo yanafanyakasi?