Hlssf ni matapeli

Hlssf ni matapeli

Abloodi

Senior Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
165
Reaction score
12
Napenda kuchukua nafasi hii kuwa asa wale wote wenye mpango wa kutumia pesa zako katika kuomba mkopo kwenye hii taasisi sjui ya HLSSF Kwa kifupi hawa majamaaa nimatapeli watakulia 30000yako na utambulia ahadi tu. Na website yao inafanya kazi kipindi tu cha ku apply. HAWA HLSSF NI MATAPELI NA SIJUI WIZARA GANI ILIWASAJILI HAWA,.
 
ndo tanzania kila mtu anafanya lake ili mrad apate pesa
 
Msije mkajiroga kuomba mkopo hlssf
 
ni noumaaaaaa hao jamaaaaaaa!pita mbal. ucje ukalia bureeee!
 
Napenda kuchukua nafasi hii kuwa asa wale wote wenye mpango wa kutumia pesa zako katika kuomba mkopo kwenye hii taasisi sjui ya HLSSF Kwa kifupi hawa majamaaa nimatapeli watakulia 30000yako na utambulia ahadi tu. Na website yao inafanya kazi kipindi tu cha ku apply. HAWA HLSSF NI MATAPELI NA SIJUI WIZARA GANI ILIWASAJILI HAWA,.

kamata mwizi men
 
Back
Top Bottom