Hlw

Karibu sana.
Tupo tunakubaribisha...

Nakukabithi kwa katoto kazuri katakuwa kanakupa mongozo na kupiga nae stori mbali mbali..
 
Sawa asante, mi natokea morogoro

Morogoro ya wapi mtoto mzuri! Moro mjini, Kilosa, Turiani, Matombo, Kisaki, Kilombero, Mahenge, Malinyi, Mlimba! Morogoro ya wapi maana na mimi nipo Moro pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…