salehehunter
Member
- Feb 21, 2015
- 15
- 0
QWell, Karibu sana JF, hapa kuna mazuri na mataamu..lakini machungu ya kutafuta..Wana jami Hali zenu wote naomba mnikaribishe Mimi mgeni kwenu
Wewe si useme ukweli tu kuwa ulikuwa unatumia ID gani, maana approach zako hazioneshi kabisa kuwa wewe ni mgeni humu. Nina wasi wasi wewe unaweza kuwa Faiza Foxy, Nape Nnauye au Mwigulu Nchemba. Ngoja tukuweke kwenye uangalizi kwanza