Hodi Arusha,naomba mwenyeji pm

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Sijawahi kufika kwenye hili jiji la Arusha,nasikia ni Geneva ya Afrika

Kwa gharama zozote zile nataka tarehe 2 January 2020 nitue kwenye jiji hali

Naomba wenyeji wajitokeze pia naomba kufahamu sehemu nzuri za kufikia

Mwezi fulani nilienda Mara kule Tarime nashukuru yule mkaka alinipokea na akawa mwenyeji wangu akanitembeza vijiji vya Nyamwanga,Matongo,na pia yule dada wa makambako alinipokea na akanisindikiza Iringa

Naomba mwenyeji wa Arusha,nina hamu nifike kwenye hili Jiji na nikishafika lazima nifike Moshi pia

Nasikia huko kuna baridi sana kuna haja ya kuvaa sweta au koti au vyote kwa pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa utapata mwenyeji.....mimi nimeoa ningeoa sijaoa ingekuwa burudani
 
@cutelove,Dah...Bado nakusubiri uje Dodoma Tena ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…