[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo maana nimeanza kwa kumwambia "kama hana mission maalum kwenye hizo safari zake"
Ntaanzia wapi kukususa? Nathubutuje kwa mfano?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nlimstukia siku ile alipoweka picha ya mdada namjua kwamba ndo yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuwa sichezi na wewe ohoooNtaanzia wapi kukususa? Nathubutuje kwa mfano?
Usipocheza na mimi utakuwa huendi mbinguni
Acha tu nisiende, kwa kuwa ufunguo wa mbinguni unao wewe?Usipocheza na mimi utakuwa huendi mbinguni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo maana nimeanza kwa kumwambia "kama hana mission maalum kwenye hizo safari zake"
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Kumbe! Aisee!Nlimstukia siku ile alipoweka picha ya mdada namjua kwamba ndo yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Duh! Kumbe! Aisee!
Mimi niliamini kabisa kwamba atakuwa ndiyo yeye!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndie yule yule aliyejifanya eti alimwachia demu 7,800/= na huyo demu alitoka Mwanza kavaa swet limeandikwa TanzaniaHivi mtu kumiliki ID ya kike anafaidika na nini?
Unajifanya mwanamke, uchati na dume mwenzio?
Mimi hapa nauliza tu, sijamtaja yeyote.
Inasikitisha sana mkuu, maana mwanaume aliyekamilika kujinasibu wazi wazi kuwa yeye ni mwanamke, si jambo dogo.Huyu ndie yule yule aliyejifanya eti alimwachia demu 7,800/= na huyo demu alitoka Mwanza kavaa swet limeandikwa Tanzania
angalia aliyemuongelea kwenye huu uzi ndie huyu huyu anaweka thread nakujijibu mwenyewe
Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka
Wewe ban inakuhusuInasikitisha sana mkuu, maana mwanaume aliyekamilika kujinasibu wazi wazi kuwa yeye ni mwanamke, si jambo dogo.
Kama anataka aliwe bogo si aseme?
Maana walaji tupo.
Huenda ban akanihusu, maana ban ni mdogo wangu wa kambo!