Karbu sana nko hapa mbauda ukifika usione tabu japo kunisalimu
Nikukute wapiNiko Mwanza naelekea Arusha 31/12/2019, waweza kuungana nami usafiri bure
Sent using Jamii Forums mobile app
AssnteKarbu sana nko hapa mbauda ukifika usione tabu japo kunisalimu
Heh! Hivi kumbe Kuna watu wanalindwa humu?Kama siyo mwanaume hii ni ID ya Demiss na ile ya yule mwenye ngoma! Nilikueleza ukweli nikala ban kwa vile kuna member humu anakulinda ila huu ni umalaya tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mate bwana.Hatukudis mpendwa wetu we fanya mambo yako kwani unaazima ya mtu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu na Moshi upate hot chair plus mbege swafii
Kumbe ulikuwa hujui. Kuna wakati tutaiomba TAKUKURU ipitie JF
Nilikuwa sijui eti..ndiyo nimejua SasaKumbe ulikuwa hujui. Kuna wakati tutaiomba TAKUKURU ipitie JF
Ukajuaje kuwa sio yeye?Nlimstukia siku ile alipoweka picha ya mdada namjua kwamba ndo yeye
Sent using Jamii Forums mobile app