Ndio kwanza najiunga kwenye jukwaa zima la jf sina nimjuaye zaid ya kuwasoma kwa muda mrefu kupitia google hebu nipeni uzoefu wenu wa jumba hili ili nisije potezwa mwenzenu@happy xmass
by masinki
Kuna kitu kinaitwa Ban, jitahidi kufuata masharti na vigezo ulivyopewa kabla hujajiunga, baada ya hapo nikutakie kila la kheri jitahidi ku maintain privacy ya taarifa zako kwa usalama wako na Uhuru wako hapa Jukwaani.