Helloooo!
Nimekuwa nachungulia dirishani kwa muda mrefu, sasa nimejiunga rasmi hapa jamvini.Naomba tushirikiane kujenga nchi yetu inayoliwa na mafisadi.
Thanks in advance!
Karibu sana Mkuu, hapa ndiyo JF vigezo na masharti kuzingatiwa.Ukitukana utapigwa ban kama Mwigulu lakini ukiwa unatoa fair comment utaishi kwa amani kama mimi!