Hodi! hodi! hodi! ni mimi Sir Good!

Hodi! hodi! hodi! ni mimi Sir Good!

Sir Good

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
1,031
Reaction score
412
Naomba ukaribisho wenu enyi ma-GT ili na mimi niwe miongoni mwenu ktk kulisukuma gurudumu hili la jf ili lisonge mbele, mbele zaidiiiii!
 
Karibu sana mkuu na jisikie huru kutoa maoni yako ila matusi hayaruhusiwi.
 
Nawashukuru nyote kwa kunipa shavu, nami nawaahidi sitokuwa mchoyo ktk kuchangia kile nilicho nacho ili mambo yaende vizuri hapa jf, ahsanteni na Mungu awabariki.
 
Karibu,
soma vipengere na taratibu zote za jamvi hili ili uepukane na adha mbalimbali
 
Back
Top Bottom