EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kifungo hufunza adabu utii na tafakuriHabarini wadau,
Naonekana leo baada ya BAN la kufa mtu yaani kutoka 5.7.2019 hadi 31.7.2019
Nliwamiss nikaribisheni tena
Wadau.View attachment 1167781
Hapana jamani hajatusi tena... AmekomaNi kama umetukana tena!
Sijui matege ya macho yangu.
ASANTE SANA JAMAAKaribu sana mkuu
Kwani kuna tusi la maana basi??? mods waliajiriwa nadhani wapya wanahitaji Induction courseKaribu Tena mkuu, usirudie Tena kutukana mkuu
Bwege wewe...Ni kama umetukana tena!
Sijui matege ya macho yangu.
mswaki tu ndo sijapigaKama haujapiga PASI NGUO au HAUJAOGA, usiingie humu. Tuna vikao vya SADEC kujadiliana maswala ya VODACOM na UDUKUZI.[emoji2955][emoji848]
BAN itaongezwa mpaka vikao vitakapofikia tamati.
we mganga upogo aisee?? kujawahi kula BAN la mwezi???Kifungo hufunza adabu utii na tafakuri
Asante mkuu, kwema humu???Welcome back once again
Some new elderly and religious recruited moderatorwho let the dog out?
Nipo tuu.... Najitambua ndio maana sijawahi kupata kifungo kirefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ishu ya mbona fulani kafanya hivi si sawa kabisa kwakuwa hatuwezi kufanya mtazamo wa wengine kuwa wetu....we mganga upogo aisee?? kujawahi kula BAN la mwezi???
sijaona kama ni tusi la maana, it was a bit provocative to mods, wajifunze kuvumiliana, mbona MEMBE, MAKAMBA Sr & Jr, KINANA, NAPE, MKAPA wanatukanwa na wapo kimyaaaaa
Ufaidipo JF mjukuu wetu kwa GT.Habarini wadau,
Naonekana leo baada ya BAN la kufa mtu yaani kutoka 5.7.2019 hadi 31.7.2019
Nliwamiss nikaribisheni tena
Wadau.View attachment 1167781
Haya babu wa GTsUfaidipo JF mjukuu wetu kwa GT.