hodi....hodi.....hodi.....

mkulubule

Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
70
Reaction score
45
habari za humu ndani waungwana,, naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha kwani mm ni mgeni kwenye jukwaa hili,,ni women,,ahsanteni.
 
Wagen waenzi za maguful niwasumbufu aisee.... Mbwembwe nyingiii.... Mbona sisi hatukuwa iviii..???
 
Na Wewe ukubali kutoa ushirikiano lakini
 
Ntakupa tu ushirikiano
karibu
 
habari za humu ndani waungwana,, naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha kwani mm ni mgeni kwenye jukwaa hili,,ni women,,ahsanteni.
Karibu mgeni;
Chama-Chadema
Yanga-Timu
Chakula-Kande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…