Hodi Hodi Hodi

Fursatz

Member
Joined
May 24, 2018
Posts
5
Reaction score
0
Wenyeji mpooooo. Habari zenu wana jukwaa,naomba mnikaribishe na mnielekeze,mnisaidie na kunikosoa pale panapohitajika. Hodi tena kwa mara nyingine.
 
Wenyeji mpooooo. Habari zenu wana jukwaa,naomba mnikaribishe na mnielekeze,mnisaidie na kunikosoa pale panapohitajika. Hodi tena kwa mara nyingine.View attachment 793622
Umefanya vyema dogo maana kuja kwako usingeweka picha tusingekukaribisha kwa furaha ..karibu hapa ndo nyumbani ukiona kimeiva usile mpaka ukaribishwe na wenye shamba.
 
Hahahah karibu sana kijana.......ila kuna namba ntakupa ulipie hela ya kodi JF hii ni sheria usipotoa tunakupa ban!!
 
Hahahah karibu sana kijana.......ila kuna namba ntakupa ulipie hela ya kodi JF hii ni sheria usipotoa tunakupa ban!!
Asante ndugu. Haya weka namba nikuingizie fasta. Nisendi hayo mambo ya kubaniwaga
 
Ila ipo siku utakuja kujuta kwa iyo picha uliyoiweka mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…