Nawe waendeleaje mkuu?Pole ndugu
Naendelea kurecovery still naendelea na mazoezi ya kukanyagia mguu saivi naweza kukaaNawe waendeleaje mkuu?
Hakika Mungu ni mwema kila wakatiNaendelea kurecovery still naendelea na mazoezi ya kukanyagia mguu saivi naweza kukaa
Saivi hata kula nakula kweli kweli pia nimeacha kunywa madawa ya Maumivu naona nuru sio Kama mwezi ulio pita nilikua na Maumivu Sanaa
Mungu Ni mwema WAKATI WOTE WAKATI WOTE Mungu Ni mwema
Kuugua ni Ibada,Habari zenu wakuu.....
Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa. Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote, hakikisha unawahi hospital unapata tiba mapema kuepuka gharama za ziada.
Mungu ni wetu sote!
Kwahiyo wewe unatoa uzima?Karibu tena .
Pokea uzima sasa kwa jina la Yesu
Badala atoe hela analeta blah blah za uzima wa YesuKwahiyo wewe unatoa uzima?
Usilolijua Mungu uwa anatenda miujiza kupitia kwenye vinywa vya walevi na wazinzi nahisi leo nimetumika kama chombo tu 😁Kwahiyo wewe unatoa uzima?