H Hun Senior Member Joined Oct 11, 2012 Posts 110 Reaction score 106 Oct 15, 2012 #1 Hodi mara ya kwanza Hodi mara ya pili ya tatu ndo naingia. Mie kwa jina Hun au kwa kirefu Honey ndo jina nlopewa kwetu Ninapenda kuwa mmoja wa ma great thinkers,navutiwa sana nanyi.nawapendaaa
Hodi mara ya kwanza Hodi mara ya pili ya tatu ndo naingia. Mie kwa jina Hun au kwa kirefu Honey ndo jina nlopewa kwetu Ninapenda kuwa mmoja wa ma great thinkers,navutiwa sana nanyi.nawapendaaa
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Oct 15, 2012 #2 Hun said: Hodi mara ya kwanza Hodi mara ya pili ya tatu ndo naingia. Mie kwa jina Hun au kwa kirefu Honey ndo jina nlopewa kwetu Ninapenda kuwa mmoja wa ma great thinkers,navutiwa sana nanyi.nawapendaaa Click to expand... Hun karibu sana jamvini. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hun said: Hodi mara ya kwanza Hodi mara ya pili ya tatu ndo naingia. Mie kwa jina Hun au kwa kirefu Honey ndo jina nlopewa kwetu Ninapenda kuwa mmoja wa ma great thinkers,navutiwa sana nanyi.nawapendaaa Click to expand... Hun karibu sana jamvini.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Oct 15, 2012 #3 Honey karibu.... ebu ngoja kwanza...we ni ke au me..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Oct 16, 2012 #4 karibu sana JF
H Hun Senior Member Joined Oct 11, 2012 Posts 110 Reaction score 106 Oct 16, 2012 Thread starter #5 Asanteni saana najisikia niko nyumbani. Mie ni ke. Jamani na mie nataka kuweka picha kama wenyeji nawekaje?nijuzeni na mie nifaidi madikodiko ya JF,lol (na hivyo vismile hata sijui nawekaje ushamba huu!!)
Asanteni saana najisikia niko nyumbani. Mie ni ke. Jamani na mie nataka kuweka picha kama wenyeji nawekaje?nijuzeni na mie nifaidi madikodiko ya JF,lol (na hivyo vismile hata sijui nawekaje ushamba huu!!)
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 16, 2012 #6 Karibu sana JF.
The Son JF-Expert Member Joined Jul 30, 2012 Posts 459 Reaction score 58 Oct 16, 2012 #7 Karibu!Karibu!
The Son JF-Expert Member Joined Jul 30, 2012 Posts 459 Reaction score 58 Oct 16, 2012 #8 Hun said: Hodi mara ya kwanza Hodi mara ya pili ya tatu ndo naingia. Mie kwa jina Hun au kwa kirefu Honey ndo jina nlopewa kwetu Ninapenda kuwa mmoja wa ma great thinkers,navutiwa sana nanyi.nawapendaaa Click to expand... Hun Me lov u 2!
Hun said: Hodi mara ya kwanza Hodi mara ya pili ya tatu ndo naingia. Mie kwa jina Hun au kwa kirefu Honey ndo jina nlopewa kwetu Ninapenda kuwa mmoja wa ma great thinkers,navutiwa sana nanyi.nawapendaaa Click to expand... Hun Me lov u 2!
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Oct 17, 2012 #9 Karibu JF Honey.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,979 Oct 17, 2012 #10 Pita ndani