Hodi hodi humu jukwaani

Hodi hodi humu jukwaani

Jokia

Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
96
Reaction score
185
Habari zenu wanaJF
Jamani naombeni mnipokee kwa moyo mkunjufu kabisaaaaaaa. Ushirikiano wenu ni muhimu sana katika ushiriki wangu humu. Asanteni
 
Naona mgeni umesita kuitikia wito wa kukaribishwa...
 
Ooohhh Jokay karibu saaana. Tuambie wewe ni Adam au Hawa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom