Mfanyabiashara Toka Japan
Member
- Aug 23, 2019
- 22
- 19
Vitu vingi mfano baiskeli za watoto,chupa za chai,friji ndogo na vinginevyo vingi tu.Karibu sana unafanya biashara gani tukutangazie au kukuchangia?
Vizuri mkuu unafanyia wapi biashara yakoVitu vingi mfano baiskeli za watoto,chupa za chai,friji ndogo na vinginevyo vingi tu.
Hdoi humu ndani.
Mimi ni mkazi wa Temeke na pia ni mfanyabiashara.
Naomba mnipokee humu ndani.