Kuna mwingine nimemwona anajiita vice muce haya wewe vice udom na naona jf itajaa ma-vice mwaka huu ila karibu.
Halafu huo mtindo wa uandishi hapo kwenye nyekundu ni wa ki-facebook, huku Jamiiforums hua tunatumia maneno kamili na sahihi, ukiweza pia utarekebisha kama hutojali.