Wakuu wa jukwaa heshima kwenu...naomba kukaribia humu, akina
Kaunga,
Kongosho,
Preta The Boss, Babu
Dark City na wengineo mnikaribishe.. lol nahisi nshakaribishwa..Asanteni.
Napenda kutumia nafasi hii kutoa shukrani kwenu wadau wa MMU, kwa uchache tu Kaunga unanivutia sana jinsi unavyochangia mada, Kongosho naipenda Avatar yako..the Boss your such a Gentleman, but pls usiuchakachue huu uzi wangu wa utambulisho, Babu Dc busara zako ni urithi kwa vizazi. Kwaajili ya ugeni wacha niishie hapa.
:A S-rose::A S-rose::A S-rose: