Hodi hodi! humu ndani..!

Asante Kaunga mwaya, na wewe kuanzia leo napinga urafiki na wewe pasipo kupingulua. Sasa hebu niambie jografia ya humu maana naambiwa kuna ukaguzi mara maungamo ndo inakuwaje?? :confused2:

ukaguz upo wa aina nyingi sana,,,,kwanza tunataka kujua mali zako zisizohamishika zipoje?????kubwaaa au ndogo
 
ukaguz upo wa aina nyingi sana,,,,kwanza tunataka kujua mali zako zisizohamishika zipoje?????kubwaaa au ndogo

We Bajabiri tapeli nini?.. mi nimeambiwa mkaguzi ni Asprin au we ni Deputy? halafu unasema mali zangu zisizohamishika zipoje.. hujui huo ni urithi wangu.. hizo ni classified info:brushteeth:
 
Umenikumbusha The Boy is Mine-Monica &Brandy

Excuse me can I please talk to you for a minute?
Uh huh sure you know you look kinda familiar.
Yeah you do to, but I just wanted to know do you know somebody named?
Oh you know his name.

Oh yeah definitely I know his name.



Karibu Haven tudumishe mapenzi, tujenge mahusiano na tupinge urafiki (si ku go against, enzi zetu tulivyo kuwa wadogo tulikuwa tunapinga na kupingulua urafiki).

You look familiar, karibu tukuintrodyuzi kwa maungamo na Kaizer. LOL
 

Ahahhah... Kongosho napata hisia kwamba vivyo ni vijembe..lol
 
Orait kwen jina langu apo kushoto click and not lick then utaona send private message....haya changamka

nime-click mpaka nimelick...jina lako halicklikiki bana!
 

Uko huru au engaged? Sikuulizi kwa faida yangu lakini kuna vijogoo vinapenda kukaribisha humu!
 
Uko huru au engaged? Sikuulizi kwa faida yangu lakini kuna vijogoo vinapenda kukaribisha humu!

Ngekewa hata mimi napenda kukaribishwa nao hao vijogoo...:whip:
 
Ngekewa hata mimi napenda kukaribishwa nao hao vijogoo...:whip:

Gea nyengine za kuingilia zinalipa! Karibu sana naomba niwe wa mwanzo kukukaribisha kwenye kundi hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…