Boss Mnene
Member
- Jul 30, 2023
- 11
- 4
Acha mkwara dogo, bandari huko inauzwa.Naitwa Boss Mnene. Ni mgeni wenu humu.
Karibu Boss MneneNaitwa Boss Mnene. Ni mgeni wenu humu.
π Kwa kweli huko sina uwezo, wala msaada wowote ule..Karibu Boss Mnene
Kama jina lako linavyojieleza naomba utusaidie kukomboa Bandari yetu imeuzwa kwa Dp World [emoji2]
Ni mapito tu. Yatapita mkuu.ππtuko kwenye kilio
Thank you! Thank you very much. πWelcome to Jamii Forums where we dare to talk openly.
Asante sana Kiongozi. πKaribu big
Asante sana. Nimekaribia.aya karibu
Mhhh! Swali gumu sana hili.CCM na andazi unachagua nn
Mzee, unanionea bure tu. Mimi sina uwezo wa kuizuia isiuzwe.Acha mkwara dogo, bandari huko inauzwa.
Asante sana mkuu.Karibu sana JamiiForums...
Asante sana Babu. πKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.