Hodi hodi Jamaani...

Official Chamimi

New Member
Joined
Jan 8, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Hodi hodi jamaani, wenyeji mpo??

Mimi ni mgeni humu, sijawahigi ingia katika familia hii na kuwajulia hali.

Naomba nipokelewe na kukaribishwa kiroho saafi..

Natumai na nataraji kuwa na nyinyi kuanzia sasa na kuendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Weka na picha za passport tatu. Au picha yoyote ya sura yako.
Halafu huku kila Mtu mkuu, hata wa kike wewe mwite mkuu tuu.
Karibu sana.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…