Hodi! Hodi, jamani wooodi!

mama mia

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
11
Reaction score
3
Habari zenu wanaJF, naingia rasmi kwenye jukwaa naombeni hifadhi ya muda, tushauriane, tukosoane kwa amani na upendo. Ahsanteeeeeeeeeeeeeeeee!:amen:
 
Karibu Karibu Karibu Karibhu Karibhu sanaaaaa!
 
Welcome ndani ila kuna jina hilo..........kuna member analo ila yeye kaunganisha wewe umeweka nafasi
 
karbu. wewe ni he au she, ili tukuelekeze jiografia?
 
Welkum ila ID yako nafikiri kuna mtu mwingine mwenye ID kama hiyo
 
Habari zenu wanaJF, naingia rasmi kwenye jukwaa naombeni hifadhi ya muda, tushauriane, tukosoane kwa amani na upendo. Ahsanteeeeeeeeeeeeeeeee!:amen:

Unataka hifadhi ya muda wewe ni mkimbizi ? Hata hivyo karibu sana jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…