kimboideas
Member
- Feb 12, 2025
- 5
- 7
Asante sana kiongoziKaribu sana mkuu
Kuna utaratibu wa kulipia viingilio?umelipia kiingilio?
Nawajua wale maarufu maarufuKaribu Mkuu wenyeji utakua unawafahamu kama ulishakua unapita pita humu.
Karibu mkuuHabari ya wakati huu mabibi na mabwana.
Baada ya kuingia mtumiaji wa jamiiforums bila account kwa kipindi kirefu hatimaye leo nimejiunga rasmi.
Asante.