Hodi hodi JamiiForums

Hodi hodi JamiiForums

pantaloo

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
375
Reaction score
131
Naingia hapa kwenye hili jukwaa
Please mapokezi mazuri kidogo
 
Pantaloo ni wewe wa arusha au mwingine? Nisamehee kama nitakua nimekosea
 
Hapana pa 1985 me ni daslam hapa magogoni kalibu na kwenye kikao cha kurunzinza
 
Jamii Forum tunakukaribisha,huko foram ni mlango wa nyuma kwa mzee Mwalubadu!
 
Nilikuwa nasomaga jamii foram all most six months nikapata kiraru nimeamua kujisajiri rasmi japo ni kipindi cha sheria mpya ya mtandaoni
 
Forum ni kutaype kwa kiuoga tu jamani ndo mana mtu anakosea
 
Pantaloo,karibu JF,acha woga na mitizamo ya fb,fikra yakinifu,mitizamo jadidi na uwazi kuntu ndio ngao zetu,lugha pia izingatiwe kwa kuwa kuna great tankers,vinginevyo utatafuta mlango wa kutokea wewe mwenyewe!Kilivite!
 
Back
Top Bottom