Hodi hodi Jamvini

Kaka Sam

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
540
Reaction score
78
hayaaaa...
Niite Davie, nimeamua kujiunga rasmi baada ya kuperuuuuz kwa muda sasa..!
Nalikubali Jamvi linaendeshwa na watu makini wenye hoja makini. Nikaribisheni wazeiya..
 
hayaaaa...
Niite Davie, nimeamua kujiunga rasmi baada ya kuperuuuuz kwa muda sasa..!
Nalikubali Jamvi linaendeshwa na watu makini wenye hoja makini. Nikaribisheni wazeiya..

Karibu sana mkuu jamvini kwetu. Karibu mpaka ndani. Unakunywa nini mwenzetu? Wewe mtu wa vikali kama Nyagi, Whisky n.k. au wa vikali vya kati kama beer au wewe ni mtu wa vyoda (Vyoda ni wingi wa soda~ ha ha ha ha ) tu haya chagua kinywaji chako kama offer toka kwa BAK na unywe mpaka utosheke! karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…