Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 312
MIe mgeni mwenyeji humu ndani,watu watataka kujua MALICK MUSSA ni nani ni kijana wa kitanzania mwenyeji wa LINDI mwenye asili ya LINDI vijijini katioka kijiji cha ujamaa cha NJONJO kata ya Nachunyu Tarafa ya SUDI....naomba mnipokee,tujinge nchi yetu yenye changamoto kama top ten ya bongo fleva,kila mwezi zinaingia mpya