Nimekuwa mfatiliaji wa JF kwa muda,lakini sasa nimeamua kuingia ndani ya ngoma kucheza na sio kuwa mtazamaji wala mshabiki wa JF.Ombi langu kwenu kama kama jogoo la shamba liliongia mjini;kwa kujengana na kufarijiana katika mambo yote,kwa heshima tuliojaliwa kama Waafrika .Asante sana kwa kunikaribisha JF !!!,