Hodi hodi Masasi . Wenyeji wa Masasi " nipokeeni"

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Eleweni neno " nipokeeni".

Niliandika uzi majuzi nikuuliza niende Newala au Songea?

Lengo langu ni kwenda kufanya utalii wa ndani.

Lengo la kwenda Newala ni kujifunza kwa vitendo kuhusu " tamaduni" za wamakonde na lengo la kwenda Songea ni kujifunza kwa vitendo kuhusu tamaduni za wangoni..

Mdau mmoja akasema kama kuhusu wamakonde niende tu Masasi ndo kumechangamka na kile ninacho kitaka Newala nitakipata kwa wingi sana Masasi na Mimi nimesema hewala! Nitakwenda Masasi. Ila nitaanzia Newala kwanza nitakaa siku 2 Insha'allah then nitaenda zangu Masasi nitakaa wiki moja kisha nitarejea Dar halafu nitaenda Songea.

Wenyeji wa Masasi nipeni ABCs za Masasi.
The do and the donts of Masasi.

Lodge kali, viwanja vikali etc.

Wenyeji wa Newala pia Nipeni dondoo za Newala.
 
Cc GENTAMYCINE the witch
 
Lodge lala KP Lodge, mambo yetu yale ni KiBO lounge na Adam viazi.
Mambo yetu yale nayataka ila sitaki malaya wanao jiuza nataka demu wa kawaida nimtongoze
 

Do and donts watakuja wenyeji,ila kiwanja kizuri ni kibo ama cv joint.
 
Njoo nikupokeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…