Hodi hodi mhila.

albinomzee

Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
39
Reaction score
10
jamani ndugu zangu mimi ni mgeni kwenye jamvi hili.na nimeona nianzie huku kujitambulisha kabla cjaanza kuchangia kwinginelo.naombeni ushirikiano wenu
 
Karibu ndugu,watumia kinywaji?juice,soda,wine,biere,nyagi kuwa huru kuchagua!
jamani ndugu zangu mimi ni mgeni kwenye jamvi hili.na nimeona nianzie huku kujitambulisha kabla cjaanza kuchangia kwinginelo.naombeni ushirikiano wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…