Engineer Hassan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 477
- 504
- Thread starter
-
- #41
Kweli mkuu,nenda jaribu bahati yako...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kizaliwa chema hicho mkuu.
Mdomo wangu umejaa uji mkuu ,nisaidie kunifikishia ujumbeKweli mkuu,nenda jaribu bahati yako...
Cc paprikaMdomo wangu umejaa uji mkuu ,nisaidie kunifikishia ujumbe
Basi mwambie aje ooh aje [emoji441]Cc paprika
subiri,yuko njiani anakuka mkuu
Karibu sana mgeni handsome wangu engineerWadada mbona hamnikaribishi ?
Nimefurahi kwa ukaribisho wako muruaaaKaribu sana mgeni handsome wangu engineer
shukrani mkuu.Karibu mgen
Umempenda?[emoji28][emoji28][emoji28]nashukuru kusikia hivyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umempenda?[emoji28][emoji28][emoji28]
Huku mapenzi hayaruhusiwi mkuu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikuwa nachombeza chombeza tu mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku mapenzi hayaruhusiwi mkuu!
Huku unaruhusiwa kufundisha mada za uhandisi tu ila mapenzi hayaruhusiwi kabisa mkuu![emoji1][emoji1][emoji1]Nilikuwa nachombeza chombeza tu mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mhandisi ndo mtu gani?Mhandisi wa nini?
Mhandisi ndo mtu gani?
Asante mkuu nishakaribiakarbu