Hodi hodi Mwanza 9 December

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,683
WanaJF, habari za siku? Maisha yenu yanaendaje?

Basi kwa kifupi mliopo Mwanza
msituogope tuonane tunakuja huko kwa shughuli ya sherehe maarufu na muhimu kabisa ya Uhuru wa nchi yetu tulishazoea kuiita tisa Desemba.

Namalizia uzi huu kwa kuwaulizeni JF members kuwa, je itakuwa vizuri sherehe hizi kufanyika kwa kuhama hama kama za kuwasha na kuzima Mwenge wa Uhuru? Je, kwanini Mwenge wa Uhuru usiwe unawashwa siku hiyo ya tisa Desemba?
 
Embu pumua alafu eleza unataka wanamwanza tufanye nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…