Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 283
Shikamooni wakubwa!!! lakini mi niko at 30's yrs!!!
Jamani nna B.A.ACCOUNTING AND FINANCE..... naomba msaada wenu nishauri masters mzuri, iliyosokoni nikasome.....
MBA(CM), MSC. ACCOUNTING & FINANCE, MSC. PROCUREMENT, MSC. ECONOMICS & FINANCE FOR DEVELOPMENT(hii nimeipenda lakini hayo maneno ya mwisho FOR DEVRLOPMENT yananipa kichefuchefu)
nasubir maoni yenu wakuu..... hizo yoyote naweza kufit....
C ukasome udsm mkuu,au bachelor yako haina upper second?
Kutegemea na kazi yako ya sasa ....nakushauri soma MSC. ACCOUNTING & FINANCE, ila pia jitahidi sana uje upate accia kama uko nondo pambana na cpa ya hapa tz!!zitakuja kukulinda na kukutoa big time!ushauri wangu tu!!
pale UDSM masters yao ya MBA wanachukua hadi GPA YA 2.6...... fungua intake hii uangalie!""""
ctaki kabisa UDSM, CKIPEND HIKI CHUO!!!!""'''
Ndio maana ukachagua Mzumbe sababu kichwa yako haifit UDSM ungejua wameshusha hiyo GPA wakijua wataaply ila hawatavuka first semister maana wengi vichwa havina Hesabu (QM) inawakimbiza alafu walivyo business oriented supplimentary zao ni mpaka ufike mwisho unakuwa umelipa at least 3QRT ya ada.
Kwa akili yako nenda Mzumbe tu utamaliza
senk yu
......
sasa bachelor nimetaabika na masters nayo, looooohhhhhh!!!"""""" watu tunataka mapumziko college!!!!
Nakushauri uende Open kama unataka kwa design yako..Mzumbe tatizo wanafunzi ni wengi sana kiasi haindani na miundombinu iliyopo pale town. Labrary ya watu 50 wanafunzi intake 1200..haingii akilini..
Wewe huijui mzumbe nini? nani kasema ukiwa na lower second unaweza kuingia mzumbe? Waulize wanaosoma UDSM kama hawakutangulia kukosa Mzumbe.C ukasome udsm mkuu,au bachelor yako haina upper second?