Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Karibu sana JF Mkuu.Kwa heshima na taadhima nawasalimu ninyi nyote wana JF. Nimejiunga rasmi jana ili nami niweze kutoa mchango wangu wa kifikra katika jukwaa hili adhimu. Naomba makaribisho na mashirikiano mema. Jiandaeni kupata taarifa moto moto za uvunguni.
Terrible Teen.
Kuingia na kuingia tu umeanz kwa kuchapia, ww jipu nin??Kwa heshima na taadhima nawasalimu ninyi nyote wana JF. Nimejiunga rasmi jana ili nami niweze kutoa mchango wangu wa kifikra katika jukwaa hili adhimu. Naomba makaribisho na mashirikiano mema. Jiandaeni kupata taarifa moto moto za uvunguni.
Terrible Teen.
Nisamehe Mkuu, ugeni ndo shidaKuingia na kuingia tu umeanz kwa kuchapia, ww jipu nin??
Nimebobea katika shughuli za ushushu, intelejensia na udukuzi.Karibu sana JF Mkuu.
Hebu tuambie wewe umebobea katika nyanja ipi? Ili tujiandae vema kusikia vya UVUNGUNI.
Karibu sana Mkuu.
Bas karib sanaa..Nisamehe Mkuu, ugeni ndo shida
ID ya zamani ndo nini Mkuu? tafadhali naomba maelezo ya ziada mie mgeni hapa jamvini.Karibu tena jf ila vipi kuhuusu ile id yako ya zamani ndo hutoitumia tena?
Afu je una mpango wa kutafuta mpenzi hum? Kuna usia nataka nikupe.
Najaribu kuiweka nashindwa waweza nisaidia namna nzuri ya kuweka pichaPich tafadhal
Ngoj nikuje pm nikuelekeze[emoji125] [emoji125]Najaribu kuiweka nashindwa waweza nisaidia namna nzuri ya kuweka picha
PM ndo wapi Mkuu, Mie nipo Boston, Massachusetts karibu sanaNgoj nikuje pm nikuelekeze[emoji125] [emoji125]
Acha kushobokea wageni.Ngoj nikuje pm nikuelekeze[emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kushobokea wageni.
Mbona mimi hujawahi kuja pm.
Tutoto hutu tuna nini kipya zaidi ya story za papuchi na demu wangu?Karibu sana JF Mkuu.
Hebu tuambie wewe umebobea katika nyanja ipi? Ili tujiandae vema kusikia vya UVUNGUNI.
Karibu sana Mkuu.