Hodi hodi new member apa

Hodi hodi new member apa

Nawa mikono kwa sabuni kwa sek 20+ pia maji tiririka....
 
Siku hizi naona wameweka kipengele cha ad's (matangazo) kiukwel kinaboa
Kingine kuwe na option ya kum-search MTU kama ilivyo inastagram, badala yake humu jf kuna option ya ku-search topic badala ya MTU mfano namtafutaga sana the bold au 4G LTE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Evonik said:
namtafutaga sana the bold au 4G LTE
The Bold amebadili jina la ID... Humu JF siku hizi anajulikana kama Habibu B. Anga na ni Verified Member.

Kuhusu kusearch, mimi huwa nasearch kupitia Bing au Google.

Kwa mfano, nikitaka kumsearch evonik naandika "Evonik JamiiForums member"
 
Back
Top Bottom