Hodi hodi. Nifundisheni nisalimieje humu, Nani me, ke, umri, nani mheshimiwa n.k?

Wewe ni [HASHTAG]#Bashite[/HASHTAG] wa [HASHTAG]#koromije[/HASHTAG] au nakufananisha?...🙄 🙁
 
naona unatafuta umaarufu kwa dakika,angalia kijana hilo jina lisije likakutokea puani..
 
Bashitee: 20153484 said:
Hodi hodi , Mimi ni mwanaume
Umri ni kati ya 30- 40
Nimeoa
Bashitee, niite "Mjomba". Umeoa ila hujabahatika kupata mtoto na kwenu ni Koromije!
 
mim bashite aka makonda

kila siku niisaliimie 'hi baby bashite'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…