Hodi hodi ukumbini

HM Hafif

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2009
Posts
1,359
Reaction score
20
Naomba kuwa amkua wenzangu. Naomba ruksa yenu hapa barazani
 
Duh hiyo msataili uliyokuja nayo ni ya aina yake. Naona ulishajikaribisha mwenyewe. Yaani umeingia kwenye nyumba ya watu bila hodi, umekula chakula, umekunywa maji halafu baadaye ndio unabisha hodi? Hii sijawahi kuona. tehtehtehtehteh!!!!!!!!!! hii kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…