Hodi hodi uwanjani.

Hodi hodi uwanjani.

Ceas

Senior Member
Joined
May 5, 2019
Posts
193
Reaction score
204
Nashukuru Mungu leo niko live jamii forum naombeni ushirikiano mwema husasani wenye tija. Nawasilisha hoja
 
Mbona unakuja na mikwala ya tija? Anyway, Karibu! Angalizo, kila demu humu ana mtu wake! 😂 😂 😂 😂 😂
Acha kumtisha utasababisha asichangie Mada kuogopa mkwara wako 😀😀😀
 
karibu sana mkuu.! mimi ni mwenyekiti msaidizi wa CHAPUTA, kwa kujiunga na chama chetu karibu PM.
 
Hahahaha asante ama kweli watanzania sifa yetu kukarimu wageni nafarijika kwa mapokezi mazuri
 
Back
Top Bottom