Hodi hodi uwanjani.

Ceas

Senior Member
Joined
May 5, 2019
Posts
193
Reaction score
204
Nashukuru Mungu leo niko live jamii forum naombeni ushirikiano mwema husasani wenye tija. Nawasilisha hoja
 
Nashukuru Mungu leo niko live jamii forum naombeni ushirikiano mwema husasani wenye tija. Nawasilisha hoja
Mbona unakuja na mikwala ya tija? Anyway, Karibu! Angalizo, kila demu humu ana mtu wake! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mbona unakuja na mikwala ya tija? Anyway, Karibu! Angalizo, kila demu humu ana mtu wake! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Acha kumtisha utasababisha asichangie Mada kuogopa mkwara wako πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
karibu sana mkuu.! mimi ni mwenyekiti msaidizi wa CHAPUTA, kwa kujiunga na chama chetu karibu PM.
 
Hahahaha asante ama kweli watanzania sifa yetu kukarimu wageni nafarijika kwa mapokezi mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…