Hodi hodi uwanjani

Hodi hodi uwanjani

Mr Yes

Senior Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
153
Reaction score
29
hodi hodi uwanjani,wana jamvi mnikaribishe,nimej=kuja na nasaba na nyingi nasaha,naomba mnitunze na mengi mnijuze.ukweli kwangu jadi uongo na unafiki kwangu mwiko,mzalendo wa haja mwenye nyingi bashasha naomba mnipokee jamvini niwe mwanafamilia.
 
karibu Mr.Yes!

"A successful man is one who can lay a firm foundationwith the bricks others have thrown at him"
 
Back
Top Bottom