Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
Sikujitambulisha mwanzo.Mmh expert member unajiita mgeni!?
Asante sanakaribu
Sikujitambulisha mwanzo.
Hahahahahah.Hata mie sikujitambulisha,nilijikaribisha tu
Hahahahahah.
Ndio maana nimejitambulisha
Nimekaribia had jikoniPoa karibu tena
Asante sanaKrb sana JF mjukuu wetu............
Nimekaribia had jikoni
Hahahahahah...Uoshe vyombo huko hakuna kuonja mboga