HODI HODI WAKUU...................

MBWAGA II

Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
14
Reaction score
5
Habari zenu wakuu,
mimi ni mwanachama mpya wa jf,japo ni msomaji mzuri tu wa comment za watu bila kuwa mwanachama rasmi.JF imekuwa mtandao wangu bora wa kijamii tangu kitambo sana.Mnipokee na kunikaribisha.
Asante,Jumapili njema.
 
Yaani tangu tar1/8/2015 upo huku tu, huchangii chochote..!?
[emoji15] [emoji15]
 
Karibu mpaka kwenye vyombo,uvioshe vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…