Hodi, hodi wakuu!

Hodi, hodi wakuu!

Babuyao

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2009
Posts
1,741
Reaction score
272
Hodi ndani ya uwanja huu. Mimi ni mwanachama mpya. Naomba mnipokee katika jumuiya hii ya wenye mawazo mazito. Asanteni.
 
Babu bibi yupo wapi? 😀tehe tehete ttehheee tiii!

Karibu Babuyao🙄
 
Babuyao karibu hadi ndani. Kwa kawaida babu huwa anakuja na zawadi kutoka kwa bibi, umetuletea nini???
 
Hello wazalendo wa nchi hii. Asanteni sana kunipokea!
Nimetamani sana siku nyingi kuwa katika kundi hili. leo nimepata hii chansi. Niko nanyi katika kufahamu zaidi muafaka na uzalendo wa WaTZ.
Ruth Mfongo
 
Karibu sana Ruth. Jisikie nyumbani. Uwe huru kabisa kutoa mawazo yako.
 
Karibu karibu Bibie Mfongo
 
Last edited:
Back
Top Bottom