Hodi hodi Wana bodi

professional ethics

Senior Member
Joined
Dec 24, 2023
Posts
108
Reaction score
350
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Kipekee hii ni mara yangu ya kwanza kufungua account katika mtandao huu wa jamii forum.

Wakuu naombeni ushirikiano wenu kwa kipindi chote takapo kuwa humu. Naamini uwepo wangu utaleta chachu hasa chanya katika jukwaa la elimu na jamii intelligence.


It's me student teacher from one of university in Tanzania.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Karibu. Hapa Kazi Tu na Maendeleo hayana Chama
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…