Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera!umetimiza ndoto yako!
Mayoniziiiii bado mnatumia kwenye chips??Karibu mkuu, hayo maneno ya kuwa eti sisi ni wachovu ni wivu wa kike walionao mwanaume wa mkiani or sorry mkoani.
Siku hizi mpaka miwa wanakamuliwa eti ??kazi kweli kweli mahindi ya kuchoma na ndimu?
Ndiyo mkuu, bila kusahau ukwajuMayoniziiiii bado mnatumia kwenye chips??
Hahahaha haaaaaa,kha!!!!!Siku hizi mpaka miwa wanakamuliwa eti ??