Ndio nimejiunga jamani naommba mnipokee niko huku kwesunga navutiwaga Sana na mambo ya jamii forum nishajifunnza vitu vingi Sana kupitia humu,ingawa nilikuwa natembelea kama mgeni.Naomba mnipokee.
Ndio nimejiunga jamani naommba mnipokee niko huku kwesunga navutiwaga Sana na mambo ya jamii forum nishajifunnza vitu vingi Sana kupitia humu,ingawa nilikuwa natembelea kama mgeni.Naomba mnipokee.
pita tu ila humu wengi wake za watu na michepuko ya watu kuwa makini kuna matapeli na magubegube kuna timu kubwa mbili
timu kibamia na timu mabwawa ila hawa mabwawa wanawaponda sana vibamia
Humu wanawake wanaipinga free p yaani ukiwa huna hela wadada wazuri utaendelea kuwaita shemeji tu yaani wanapenda hela kama wanaishi benki
ila usishangae id mpya pekee ndio zinazotafuta wachumba hawa ni senior members ila hawajionyeshi
mtu tajiri kuliko wote humu ni le mutuz ukibishana nae utaitwa masikini utaitwa mburula
kuna jukwaa pendwa linaitwa MMU yaani hili ukiomba ushauri tegemea lolote kuna mazuri na mabaya ila mabaya yaache beba mazuri
ukitaka stress nenda jukwaa la siasa huko ni hatari unaweza ukajikuta unabishana hata na rais au mbunge ila ukiisapoti ccm ujijue kabisa umetoa akili zako
humu kama tandale kuna wambea watetaji wezi kuna watu wanafake maisha humu bwana watu wote wana magari kasoro mimi humu kila mtu msafi kasoro mimi
karibu sana
wako katika ujenzi wa jamiiforum
MO11
Hahahahaaaaa mbona hata mm sina garii
wewe Leo ndio umeniambia
Mwenzio ndio kwanza npo shulee ilo gari ngelitoa wapi
kumbe upo shulee sio shule nilitaka nikuulize shule gani unasoma niwe nakupa lifti ya Tanzania 11
Npo vidudu ila nlizaliwa na menoo ndio maana muongeaji sana
upo vidudu au upo na midudu ??
hivi mtoto akizaliwa na meno ndio anaongea sana ??
Kama under 18 hujakidhi vigezo ni bora ukasome kwanza
Nikasome mara ngapi tena na npo kusoma
huku umefuata nini mtoto
Kwaiyo hata wanaosoma degree...masters...phd....certificate. ..diploma ni watoto nlikua cjui eti
Npo vidudu ila nlizaliwa na menoo ndio maana muongeaji sana