Hodi hodi wana jf...!!

Joined
Jun 22, 2009
Posts
16
Reaction score
0
Hodi hodi jamani wana JF....huyu si mwingine bali ni Mkaruka Giledi (Tata Giledi) wa Etaro Makao hadi Ekungu,kwa wale abhagangaji wamenisoma hapoooo....ndani ya jumba la wana JF...Ahsanteni sana kwa mchango wenu ktk jamii.
 
Ahsanteni sana Che Kalizozele na the Farmer...nafurahi kuungana nanyi ktk JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…